Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Levante, imepanga kumnyakua Samatta kwa ofa ya Euro 4 milioni (zaidi ya Sh10 bilioni) ili kwenda kuziba nafasi ya Emmanuel Boateng ambaye ni majeruhi.

Kama dili hilo litafanikiwa basi Samatta atawapa faida Genk kwani yenyewe ilimsajili kwa Euro 800,000 (kiasi cha Sh 2 bilioni tu) kutoka TP Mazembe ya DR Congo miaka miwili iliyopita.

Mbali na mchongo huo wa kutua Levante itakayoanza La Liga msimu huu dhidi ya Betis Agosti 17, lakini wawakilishi wa staa huyo wamedokeza wana ofa mkononi inayotoka Ujerumani ingawa hawajaweka wazi ni klabu gani ya huko kwenye Bundesliga inayomhitaji.
Nyota ya dogo inaelekea kung'aa, taratibu anasogelea mafanikio. Kila la mwana TMK mwenzetu
 
Back
Top Bottom