Safi, .zimaSijambo Moud habari yako?
[emoji173] [emoji177][emoji137][emoji137]Moud
Poa, vipi kibaridi hukoHatujambo mambo vipi mkuu
Poleni, hongereni[emoji3] [emoji3] [emoji3]Alikosea namba akanitumia Msg Mambo Mpenzi ...
Kila siku nilikuwa nawasiliana nae ila nikifika nyumbani natoa line yangu Mke wangu hasijue kabisa ... Nikimwambia atume picha WhatsApp anasema atumii simu kubwa.
Leo tumepanga tukutane Guest tukalale cha ajabu namkuta Mke wangu anadai heti aliniwekea Mtego ..
Mpaka sasa tumeshindwa kupata muafaka mi nahisi alijua kapata Bwana Mpya ushauri wako nimfanye nini huyu Mke Wangu?
[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Wapunguze kukaa sana porini na mifugo[emoji3] [emoji3] maana wanarithi tabia za wanyama[emoji3] [emoji3] [emoji3] ujue hawa ni watani zanguHahahhaha! Wapunguze nini Moud?
Sasa wote tukikaa mjini, maziwa na nyama iliyo safi kabisa tutapata wapi??? Kundi teule..Wapunguze kukaa sana porini na mifugo[emoji3] [emoji3] maana wanarithi tabia za wanyama[emoji3] [emoji3] [emoji3] ujue hawa ni watani zangu
Hahahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] utenguke wapi weye[emoji3] [emoji3] tatizo lako unaweza kung'ang'ania mara baada ya kuonjeshwa ubabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SIZITAKI, Nisijetenguka buree.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] utenguke wapi weye[emoji3] [emoji3] tatizo lako unaweza kung'ang'ania mara baada ya kuonjeshwa ubabe
Teh teh tehsijambo" mkuu kwema"" --? naona wafurahia kuwa mkubwa""
Wapi visheti na vibibi...njaa kaliSijambo,jirani
Kwetu mawingu yalitawalaWatu katika mataifa mengi dunia walifanikiwa kutaza kupatwa kwa mwezi uliobadilika na kuwa mwekundu ikiwa ni tukio la muda mrefu la aina yake katika karne ya 21.
Kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema buroo? Wikendi murua kabisa sina seteresi[emoji23][emoji23]
Nimegundua kuna vitu kadhaa hapo kwenye 6x6 huvijui, unaviogopa au unavikwepa kwepa, naamini siku ukivijua kwa kina utaleta shida kwenye jamii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema buroo? Wikendi murua kabisa sina seteresi[emoji23][emoji23]
Beer sio tamu kama naniuuMngekunywa beer[emoji23][emoji23]