Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HA hah
Nambie source yako ya habari Chief, hatuna taarifa ya habari sikuizi ukiacha BBC swahili.
Sifuatilii sana siasa hizi kwa sababu zilikuwa zinanipa presha bure. Dada wa taifa ni sawa na kusikiliza fox news on steroids. Huwa napenda objective news. Mwananchi kidogo wanajitahidi angalau. Azawaisi nakuja hapa nakula likes zangu nacheka na siku zinaenda bro.
 
Sasa uzalendo anao tutangazia kila siku upo wapi hapa? Unafiki tu!!Ujue ni vizuri wote kuwa wanaufaika, kama Mkwere enzi zake .. ubinafsi si jambo zuri hatakidogo! Watanzania wana hali mbaya sana kimaisha anayofanya si uungwana.
Huyu aliyeteuliwa ni hawara ya nani kamanda? Watanzania wana hali mbaya sana? Ulikuwa Tanzania lini bro?
 
Taarifa za nyumbani napata kupitia mitandao, JF na Twitter ni vyanzo mama. Dada wa Taifa usimpuuze binafsi nachukua taarifa nyingi ambazo si rahis kuzipata mahala popote na vyanzo vyake ni wananchi wenyewe. Sitaki kuzungumza sana sababu impact ake nikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…