Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jukwaa hili sijami ng"ooooo. Maana si kwa burudani hiziKupunguza gharama uwe umejiandalia jeneza, gari la matangazo lipia kabisa ili ukirestishwa ini pisi iwe rahisi kukufukia
Sio kwa jifenesi hiloKatika orodha hii kuna ndugu yenu, mwanauzi mwenzenu, kipenzi chenu, rafiki yenu, mmiliki wa Fenesi hili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 821257
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika orodha hii kuna ndugu yenu, mwanauzi mwenzenu, kipenzi chenu, rafiki yenu, mmiliki wa Fenesi hili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 821257
Marahabaaa. Leo nina bahati. Shikamoo nazioga kama mvua. Uzee raha sana wallahi ai tachi nyu mane everedei [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee wewe
Shikamoo shem
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wabaya sana,,huu utani sio kabsa
Kwema shiro
Ndiyo maana nimemshangaa Pyaar eti mwanaume ukimpa vyote anaweza kusepa pia[emoji3] [emoji3]hivi ni kweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sijui alikua anamaanisha nini kwakweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na mambo yako ya pwani[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ya sasa hakuna la kushangazaLe kokobanga ni dc kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hichi kichwa chenye maGB yake hata sipotei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] mkuu habariAcha mkwara we Mlugaluga! [emoji23][emoji23]
Ushagoo kwema sana,,miss you shiro[emoji8] [emoji8][emoji23][emoji23]
Kwema kasmart sijui wewe?
Unaangalia aina ya matusi ndugu,[emoji3] [emoji3] hata hapa tunatukanana, lakini ukiangalia nia hasa ni kupata likes na kufurahisha kijiwe chetuSiyo kila anayetukana upinzani au chama tawala anataka cheo. Wengine (kama tulionao humu) wanafanya hivyo sababu ya "uzalendo" wao. Ndiyo demokrasia ati [emoji16][emoji16][emoji16]