Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilimaanisha upendo + Furaha +Amani...msikilize, muheshimu + mtii, usiwe jeuri, uache ubinafsi, utimize majukumu yako pasipo kunung'unika, usiwe mwenye kisirani.....Mwanamke ukisababisha yote hayo kwa mpenzio, atatoka nje kwa tamaa zake tu lakini sio kwa kisingizio cha kwamba nyumba haikaliki...GUBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…