Mmmh!Unakula, ukishiba unawapa Dada, na wadogo zako nao wajilie[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Waaaowwww bado kuzinduana tu .love birdsHi b$b¥... Wasiione hii wabaya wangu! [emoji7][emoji1550][emoji1550]
Aisee,,kumbe hawa pia ni wake za watu,,haya mambo Mungu ayapitshe mbali wallahMarafiki. Sita. Walikutana. Wengine wake za watu. Wakanywa. Kupitiliza. Vijana nao wakakaribishwa. Wakanywa. Kupitiliza. Wakavuka mpaka. Ndoa zipo mashakani. Dunia !!!
Analilia utamuAnalia nin mrembo huyu.?
[emoji23][emoji23][emoji23]