carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sasa hata hiyo mipnago hamna, mnategemea nini aisee ???Talanta inatakiwa itolewe kwa malengo si hovyohovyo tu[emoji23]inabidi kuwa na mipango
Amen tena sanaMungu awape kila hitaji la mioyo yenu.
Apate kuwapa faraja kwa wale wanaojiona wapekwe na wametengwa.
Awafanyie wepesi wote wanao/mnao pitia magumu
Awape afya njema wagonjwa wote.
Mungu awabariki[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unampa gari yako ya thamani aendeshe, gari uliyoipata kwa machozi jasho na damu, uje umnyime fenesi ambalo umeliokota night club au jf, kuna haki kweli hapo?Kuna vingi vizuri lakini sio fenesi jameni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku ndo kuwa mchepuko wa faida,maana mchepuko hana uridhi.Huko ndo wanakuitaga kudanga kulikoenda shule[emoji23][emoji23][emoji23],.. Unahongwa wilaya na watu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tahadhari:- asijichanganye akakitembeza hovyo, atatunukiwa mwingine[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wengine wanatumia talanta kwa walugaluga, mwisho wa siku kuanikana nyuchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Talanta inatakiwa itolewe kwa malengo si hovyohovyo tu[emoji23]inabidi kuwa na mipango
Hongera zako, mwacheni mtoto wa mwenzenu ajiliage nchi.. Nafikiri alitumia muda na akili nyingi kutafuta mbinu, kuwaza na kuwazua ni jinsi gani atoke, atoke vipi,..Si lelemama, ....Hatimaye mambo yakawa[emoji122][emoji122][emoji122]...
Kanyaga twende dada, mbere kwa mbere
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41], tena wape miaka hiyo [emoji111], lazima utunukiwe na UBALOZI...[emoji23][emoji23]..
Sasa hata hiyo mipnago hamna, mnategemea nini aisee ???
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaishia kuwa kama dc wa instagram[emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaishia kuwa kama dc wa instagram[emoji124][emoji124]
Mchumia juani hulia kivulini[emoji23]....Hadi kufika hapo talanta yake ilipata tabu sanaaaa.
Nakwambia ilipata tabu sanaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wengine wanatumia talanta kwa walugaluga, mwisho wa siku kuanikana nyuchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]