Sijui hataPongezi au....
mimi huwa nawadharaugi kweli na vimario vyenuuu,Ndivyo nilivyomaanisha[emoji23][emoji23], halafu baadaye vinaanza kuwaliza, kimario kinahama kambi[emoji23]
Dingi hapa tuko poa, karibu mkuuJamani salama!! humu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Siasa bana !!!Awamu ya 5 imeweza kuzishushia hadhi sana nafasi za Ma-RC&Ma-DC Any way sawa kwa sababu sifa za kuteuliwa ni ikimpendeza Mtukufu Serikali ya awamu ya 5, nadhubutu kusema ni Serikali Mseto maana CCM haina tena human resources zaidi ya kutegemea kuwanunua wapinzani kuunda Gov't.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmmh poti sikutaki PM kwangu,kaa nazo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji134]♂️[emoji134]♂️... Muonee imani mtoto wa mwanamke mwenzio! [emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiona kauli kama hii, mchunguze sana anayeitoa. Utagundua mengi...
ATUPOI [emoji23]HATUPOI
Mkuu punguza, najua leo umehamaki ila hatuna namna[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo hivyo, hata jamvi linakubaliaka mahali pa shughuri ingawa nyumbani una zuria zuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Majamaa yaliyosoma Sayansi yalikua hayana habari na mademu enzi za shule. Yenyewe na vitabu tuu. Matokeo yake yanakuja kupagawa na mifereji maringo tayari yana madaraka na pesa. Inakua Chaos sasa.
[emoji3] [emoji3]Acha kumbania bhana,nini lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]