Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 864
- 1,818
Big no[emoji23]View attachment 821524
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kwa wanaouliza kuhusu kuteuliwa kwa Lemutuz, ameshafikia umri wa kustaafu, tusisumbue wazee
Huu wimbo kuna siku niliusikiliza usiku kucha nikiwa nafanya kazi
Ishawahi kunikuta hiii, yaani sitaki kabisa kukumbuka.
This is mean, really mean![emoji23]View attachment 821538
Dada ujue unaemuona mpuuzi leo ndiye unayeweza kumbembeleza kesho akupe ukuu furani[emoji3] [emoji3] [emoji3] yakupasa kuwekeza kila mahali maana hatujui kesho yetu. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] "za kuambiwa changanya na zako": JKTalanta inatakiwa itolewe kwa malengo si hovyohovyo tu[emoji23]inabidi kuwa na mipango
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Huko ndo wanakuitaga kudanga kulikoenda shule[emoji23][emoji23][emoji23],.. Unahongwa wilaya na watu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tahadhari:- asijichanganye akakitembeza hovyo, atatunukiwa mwingine[emoji23]
Amin, nawe piaMungu awape kila hitaji la mioyo yenu.
Apate kuwapa faraja kwa wale wanaojiona wapekwe na wametengwa.
Awafanyie wepesi wote wanao/mnao pitia magumu
Awape afya njema wagonjwa wote.
Mungu awabariki[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi huwa nawadharaugi kweli na vimario vyenuuu,
looooh
Ina maana ssi tusio na vyeo ndiyo walugaluga, jamani si tukale wapi?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wengine wanatumia talanta kwa walugaluga, mwisho wa siku kuanikana nyuchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna tatizo endelea kulikeNa likes
Wimbo mzuri sana huuHuu wimbo kuna siku niliusikiliza usiku kucha nikiwa nafanya kazi