Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna utamu wa aina nyingi

Utamu wa fenesi

Utamu wa uji

Utamu wa konokono

Utamu wa vitumbua vineneeeee vimejaziaaa

Utamu wa kupewa ban

Utamu wa kufika kibo na mawenzi

Utamu wa kuita maji mmmaaaaaa

WEWE WAULIZIA UTAMU UPI?
Jizazi [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Bro Habari za uzima kwani haya maswali yanafanana
 
Mwisho.

Yote hii ni kuhusu akili yako. Huhitaji kupigana na negative thoughts , kazana kufikiria positive tu , na hayo mabaya yatapotea yenyewe. Lisha akili yako mambo mazuri, na maisha yako yatajazwa na vitu vizuri.

Anza kufanyia kazi sasa hivi na usiache.

Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…