Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni pale unapoanza kujiuliza nitakula nini wakati huu , nina njaa na sio wakati wa kula.

Unapoona baadhi ya vitafuno unatakiwa kuchagua kwa hekima.

Kutafuna Chips sio kitu kizuri unapokuwa na njaa, unahitaji snacks ambazo zitaondoa hali hio ya njaa ulionayo na kukuweka na shibe siku nzima.

Amino acids zinahitajika kwa ajili ya kuendeleza kutengeneza misuli , kwa hio ni muhimu kupata vyakula vyenye madini ya kutosha hasa baada ya kumaliza mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…