Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vyakula vya protein vinasaidia kupunguza uzito na vinakufanya ujisikie kutosheka kwa muda mrefu.

Watu wanaofanya mazoezi wanaelewa, kuwa ni kutawala diet yako na akili yako tu , mazoezi sio magumu kama unavyofikiria.

Na ukumbuke diet si tu breakfast, lunch na chakula cha usiku. Unahitaji kuwa na vitu ambavyo vitakusaidia wakati ukiwa unasikia njaa.
 
446529715_220527.jpg
 
Kabla ya mazoezi unatakiwa kula kitu ambacho kitakupa nguvu ya kuendelea na zoezi hilo. Kuna wengine wanaweza kusikia kizunguzungu wakati wa zoezi. Sio vizuri kufanya mazoezi tumbo likiwa halina kitu.

Unahitaji nguvu ya kufanya mazoezi, na hio utaipata kwenye vyakula vifuatavyo.
 
Ni pale unapoanza kujiuliza nitakula nini wakati huu , nina njaa na sio wakati wa kula.

Unapoona baadhi ya vitafuno unatakiwa kuchagua kwa hekima.

Kutafuna Chips sio kitu kizuri unapokuwa na njaa, unahitaji snacks ambazo zitaondoa hali hio ya njaa ulionayo na kukuweka na shibe siku nzima.

Amino acids zinahitajika kwa ajili ya kuendeleza kutengeneza misuli , kwa hio ni muhimu kupata vyakula vyenye madini ya kutosha hasa baada ya kumaliza mazoezi.
 
Back
Top Bottom