Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msichana mweusi ni ugonjwa wangu sugu, ingawa sitarajii kuoa mwanamke mweusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu lakini nasikia sikia ni WATAMU HAO SINA HAKIKA LAKINI. ..
 
Jenga misuli ya akili kwa kutumia zoezi kidogo la kuufundisha ubongo

Hata kama kuna mambo mengi yamekukabili, na unaona kama unakaribia kukata tamaa. Kumbuka kupata ushindi sio kitu rahisi, kufanikiwa unahitaji nguvu ya ziada.

Lakini kabla hujaanza kujilaumu kwa kile Mungu alichokupa kama zawadi, na kabla hujaanza kutoa sababu ya kushindwa kuwajibika. Kubali hiki; Kuwa inakuchukua muda kidogo sana kujenga misuli ya akili yako kwa siku ili kufikia uwezo wako mkubwa.
 
Kujenga misuli ya akili inafanana tu na kujenga misuli ya mwili . kufanya push up 50 kwa siku inachukua dakika chache tu. lakini kufanya hivyo inakusaidia kujenga mwili wako vizuri.

Ni sawa tu na kujenga misuli ya akili yako, ni dakika chache kila siku. Unaweza kufundisha ubongo kufikiria tofauti, kusimamia hisia zako, na kuwa na nidhamu nzuri.kwa mazoezi hayo utajenga akili yenye nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…