Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 864
- 1,818
Mmmmmmhhh! Hii mpya.Aisee!!
Nahitaji msaada kdogo juu ya hili.
Kuna Jamaa angu wiki iliyopita alikuwa mayai,aliyakaanga fresh tu,,baada ya siku tatu,,akavimba kende tena moja(p*mbu),,uvimbe mkubwa tu,,kaenda hospital wamewambia afanyiwe operation kuna maji yamejaa!!
Jamaa ikabd amtaarifu mshua wake ,,mshua wake akamwambia ulikula mboga ya mayai?jamaa akajbu ndio,,mshua akamwambia hlo ndio tatzo kwan hata mm huwa situmii mayai ,,,
Sasa najiuliza Kuvimba P*mbu kende moja baada ya kula mayai,,kuna Uhusiano gani?
Cc:Shimba Ya Buyenze,Pyaar,Numbisa
Kaletwa jirani na kambi ya jeshi kabisa...Atakayemletea fujo dakka 0 yuko nyang'anyan'ga[emoji23]Ofisini...
View attachment 822262
Aisee,,usimamiaji na utekelezaji haufuati kama inavyotakiwa ,,IPT ambazo wanalipwa hapa bongo ni zile za kwenye Mining tu,,zingine hz sizani kama wanalipwa wakati wa IPTKuna ujinga mwingi sana mkuu siku hizi,
Hivi unajua IPT kule Afrika Kusini ni lazima kumlipa mwanafunzi kama Junior Learner (Apprentice) ???
Wametunga kabisa sheria kwamba viwanda inabidi vipokee wanafunzi na hata usahishaji wake umekaa vizuri.
Sasa hapa bongo madogo wanapigwa pesa hadi huruma mzee
Mmmmmmh!Mpaka nilie ni lazima uwe utamu kweli na si lelemama...mnato mnato bandika bandua feni slooo mo mkito mkito...Ooooooh [emoji7][emoji7][emoji7]
Ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo kwani ni uongo