Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

waache wazee wa magogoni waendelee tu kupiga pesaa
 
6.Eat Rich Foods

Kula chakula kamili na kinywaji safi. Kama samaki, kuku wa kienyeji, mboga , nazi, maji ya nazi, dagaa, mbegu za maboga, na matunda ya kutosha.

Eat more fruit!' the slogans say,
' More fish, more beef, more bread!'
But I'm on Unemployment pay
My third year now, and wed.

And so I wonder when I'll see
The slogan when I pass,
The only one that would suit me, -
' Eat More Bloody Grass!'
 
Kama ilivyo kwa baadhi ya vyakula, yai hupoteza virutubisho linapopikwa iwe kwa kukaangwa ama kwa kuchemshwa.Yai lina Vitamin D ambayo hupungua pindi lipikwapo. Hupungua kwa asilimia 90 likichemshwa sana hivyo kupoteza umuhimu wake kwa mwili wa binadamu. Sasa basi, ili kupata virutubisho vyote vya yai ni muhimu kulila likiwa bado bichi.
 
Mayai mabichi ni mazuri kwa kula ili kupata lishe sahihi lakini kwa wale wenye aleji (allergy) mayai mabichi si sahihi kwao kwani inaongeza athari zaidi. Mayai pia huweza kuwa na vijidudu (bacteria) waitwao Salmonella enteritidis (SE) ambavyo vinatokana na ndege mwenyewe mfano kuku. Ni vizuri kuchunguza yai kabla ya kula ili kuepukana na athari zinazoweza kujitokeza. Epuka kula mayai mabichi yaliyotagwa na kuku mgonjwa kwani ndio mwenye uwezekano mkubwa wa kuwa na SE.
 
Pata yai moja hadi mawili kwa siku. Yai halina shombo sana kwa hiyo ni rahisi kulinywa haraka likiwa bichi. Hizi ni faida za kula mayai kwa mwili wa binadamu:-
Mayai hupunguza athari ya tatizo la moyo kwa kiwango kikubwa sana.
Ni chanzo kizuri cha kupunguza protini iliyozidi mwilini.
Husaidia kuupa mwili mafuta kiasi yanayohitajika mwilini.
Huunguza na kupunguza kiwango cha mafuta yasiyohitajika mwilini.
 
Huondoa sumu iliyojificha mwilini.
Husaidia katika kuzifanya kucha na nywele kuwa ngumu.
Husaidia katika kuifanya mishipa na damu kufanya kazi kwa uzuri kabisa.
Mayai yanasaidia kutunza kumbukumbu.
Mayai yanavirutubisho aina ya foleti (folate) ambayo imetengenezwa vidonge, navyo vinashauriwa kwa wajawazito kuvinywa ili kupata chembe hai za damu.
 
Haishauriwi kutunza mayai katika friji ila yawekwe katika sehemu iliyopoa yaani ambayo haina joto kali wala baridi lililozidi. Ni muhimu kukagua yai kabla ya kulitumia hasa likiwa bichi; lakini sio tu kukagua mayai lakini kutumia mayai ya kienyeji kwani ndiyo yenye lishe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…