Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmmmmmhhh! Hii mpya.
Fanyia utafiti mkuu
Mayai ya kizungu yana madhara mengi hasa kama ufugaji utakua rafu dawa kupitiliza, pia jamaa ana jibu tayari angemuuliza baba yake anamaanisha nini kusema huwa hali mayai inaweza kuwa ni tatizo la kifamilia zaid
Itakuwa ni ishu za kifamilia sasa...shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…