[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh !!!
Yaani keshadeti wanaume wote wa humu na kuona wote ni hohehahe?
Mkumbushe haka kakanuni: You attract what you give. Yawezekena na yeye ni hohehahe ndo maana anaattract hao mahohehahe wenzake...
Kwema lakini?
poleni mnaoendelea na kazi
poleni wasafiri
kila mtu ana umuhimu wake
Mbwa kachoka!!!