Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

....MISEMO YA WATU WENYE WIVU....

1.Siwezi nunua gari kwa mkopo.
2.Huyo bwana wake mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu.
3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano.
4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge.
5.Anajifanya amesoma lakini hata haolewi.
6.Siwezi endesha Vits bora nitembee kwa miguu.
7.Kuolewa ni stress tuu bora nikae single.
8.Microwave inaleta cancer.
9.Anaendesha V8 halafu anaishi uswazi.
10.Hiyo nguo anajifanya amenunua laki tatu wakati ni elfu thelathini tuu kariakoo.
11.Hiyo Kazi aliipata baada ya kutembea na bosi.
12.Hata kama ana degree, maisha yake sawa tuu na yetu.
13.Kwani Mercedes ina miguu mitano, gari gari tuu.
14.Siwezi nunua gari wakati sina nyumba.
15.Anaenda gym kila siku lakini ana umbo bayaa.
16.Anajifanya kuongea kizungu wakati kwao shamba tuu.
17.Anaringaaa, Ataachwa tuu.
18.Ana umbo zuri lakini hajui kuvaa.
19.Usione amenenepa hivyo anatumia ARV.
20.Hakuna jipya kwenye ndoa.

OGOPA WATU WA NAMNA HII KAMA UKOMA..
 
Tena hzo Vits,, utasikia gari za kike hzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…