Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

waruhusu tu siwamesema inawasaidia wajawazito wasisikie kichefuchefu
Wafanye kama huko Marekani. Inabidi uende kwa daktari na akuandikie kama dawa. Na wauzaji wawe wamepatiwa kibali na serikali na wana maduka yanayoeleweka. Na kiwango cha active ingredient kinapimwa kuona kama kinakidhi. Vinginevyo utaishia kuwa na taifa la wavuta bangi !!!
 
Picha zake mwenyewe alafu zina mdharirisha
Ndiyo. Sheria ya makosa ya mitandao imeandikwa kimitego sana. Eti kuziweka mtandaoni inabidi kumuomba ruhusa kwanza. Sijui kwa nini JK aliitia sahihi sheria hii na kujiharibia legacy yake kama mtu aliyeruhusu uhuru wa vyombo vya habari (usio na mipaka?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…