myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nichukue nafasi hii kumshukuru sana Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Magufuli, na Watanzania kwa uvumilivu wao, nimekaa kimya kwa muda mrefu kwenye hizi kazi zangu za kila siku watu wengi wamekuwa wakinifuatilia kwa ukaribu, natamka wazi leo, zikiliwa zimesalia siku tano kabla ya tukio, leo natangaza rasmi, kwa utashi wangu, bila kununuliwa, wala kushawishiwa na mtu natangaza rasmi najiunga kujiunga na kuiunga mkono timu ya Kivule UNITED
safi sana
sawa mkuuNgoja niende kwenye profile yake nisome post zake ndio nutajua
WEKAKwanza naomba mods msiuhamishe huu uzi kwenye forum ya MMU. Maana lengo lake ni kuboresha mahusiano zaidi
Kwa atakaye kuwa wa kwanza kuchangia chochote ndio mwanzilishi wa mada bila kujali. unaweza kum-qoute na kureply na yeye bila hiana ni vizuri ajibu, hiyo itasandia watu kuwa na maongezi ya wazi na ikitokea maongezi yakanoga ni vizuri mkahamia PM. Ili kuboresha mawasiliano yenu.
Ila lazima uwe makini na usiweke mawasiliano yako binafsi hapa.endapo kama unataka kumpa mtu unayemtaka ni vema ukaenda PM.
karibuni
Oohhh....na wewe unanivunja moyo hivi?jipe moyo πππ