MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Huyu Pyaar huyu, naona yuko kwenye mchakato wa kunidhalilisha hapa.Heshima kwako pia. Naona mnajadili testosterone na profesa wetu wa uzi. Nafuatilia mjadala [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]...Malcom, mie pia ni mtu mzima hivyo wote tu watu wazima...Siwezi kukana maneno yangu mwenyewe....Sivyo nilivyoandika, soma vizuri.Mimi najua nilichokisoma.
Au unataka kusema sisi watu wazima tunakusingizia wewe ???
Za mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], asiione Ngosha[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 824322
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], asiione Ngosha
Hata Petro anavyomkana Yesu alikuwa ni mtu mzima,tena alikuwa anamwangalia.[emoji23][emoji23][emoji23]...Malcom, mie pia ni mtu mzima hivyo wote tu watu wazima...Siwezi kukana maneno yangu mwenyewe....Sivyo nilivyoandika, soma vizuri.