Ni ufupisho wa hiyo habari inayoendana nayo...Budaaa,ni nini na hizi nyoka??[emoji124][emoji124]
😂Magufulification of the big ole USA [emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaa,ile mnaita breki nini sijui,mana ukipewa nusu ni uchoyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekunywa nini leo???Hebu nitafsrie na hii. Nilishawahi kuisia mahali "Yanchugilu bushaa yagenda na mahela gange"
Mbege...laivu kutoka Mwibara kwa mheshimiwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekunywa nini leo???
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi wajua maana yake au umejisemea tu[emoji23][emoji23][emoji23]Mbege...laivu kutoka Mwibara kwa mheshimiwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kale kajamaa kalikurupuka ili mradi tu na kenyewe kaonekane kideon harusin kwa kaka
Hope dada mtu katulia maana nimeona mahali wanauliza kama hio couple ilipima homa kubwa(maana bwana harusi alikua anatoka na jini kabula)
Akaunti yangu ilihakiwa jirani[emoji125][emoji125][emoji125]Mheshimiwa ni wewe.... Tusije kuwekwa ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
afadhali umemwambia mwenyeweKaka samahani....
Itabidi tupange Next week....maana tulipitiwa