Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waliokuwa wamemponda wanasema wamesoma naye. Walikuwa wanalinganisha GPA ya DC mteuliwa na yake....
Hahahaha wabongo bwanaaaaa. Kila mbongo atasema amesoma naye lakini ukweli mchungu ni kwamba watanzania waliosoma Sheria Uingereza ni wachache mnoooo mzeee mnoo. Tena kwenye vyuo vikubwa kama London School of Economics ndiyo kabisaa. Mzee LLB uingereza kumaliza na (Hons) siyo mchezo mchezo, wazungu huwa hawapendelei wala hawaonei.
 
Waliokuwa wamemponda wanasema wamesoma naye. Walikuwa wanalinganisha GPA ya DC mteuliwa na yake....

Sema shida yake kubwa aliyonayo yule Manzi Fatma, ni tabia za Uswahili.
Yaaani maneno, manenooo kweli. Mzanzibari, mzanzibari kweliiiiiii.Lakini huku kwingine wabongo wanamchafua tu mtoto wa watu.
Hatakiwi achangie kile kitu, japo sijui kama atanyamaza maana She cant help it but talk and talk. Mkuu Shimba nakumbuka kuna mwaka nilikutana na baadhi ya walimu wa UDSM wakasema eti na LISSU naye ni kilaza kisa anapinga serikali.
 
Wanajuana...
 
Fatma ni mama saaafi sana, angetumia nafasi aliyonayo kwa busara na hekima zaidi angefika mbali, lakini jazba lake its totally uncontrollable walahi!
 
Anatafuta popularity. Ni public figure. Na anaongea sana. Ana jina. Na wengine pia wana haki ya kumsema. Ukweli na uwongo- mumo kwa mumo. Ndo gharama ya umaarufu...na uanaharakati...na uanasiasa...na uLissu!!!
 
Anatafuta popularity. Ni public figure. Na anaongea sana. Ana jina. Na wengine pia wana haki ya kumsema. Ukweli na uwongo- mumo kwa mumo. Ndo gharama ya umaarufu...na uanaharakati...na uanaharakati...na uanasiasa !!!
Siasa za aina hii ndizo zinaturudisha nyuma hatua kumi, lakini yote kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…