na kwa nini waje wengi? huna msimamo au?Wakija wengi nikashindwa kuwahudumia???
HE!!Umesahau Password / Pattern lock ya simu yako? Hili tatizo si lako peke yako.. na lina ufumbuzi ambao hauhitaji hata Gharama kubwa kutatua tatizo hili! Gharama yake ni Tsh. 0 /= Tu
enhee...Kwa hiyo;
Toa Sim card yako ( Line ) pamoja na Memory Card kabla ya kufanya / kuendelea na hatua zifuatazo ili kuepusha kupoteza data zako za muhimu.
hapo sasa..Kuna baadhi ya simu huleta maandishi ya kichina
sawa sawa..6. Baada ya hapo chagua Option ya restart.
Simu yako itwaka na haiitaka kukuficha kitu chochote kile kwa kukudai Password au Pattern.