Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji bhana,we agiza bili iende kwa SHIMBA YA BUYENZE .

Nimekumiss halafu tangu jana nakuwaza ujue??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba halisi au huyu wa Jf? Shimba halisi atamwaga vifungu hadi pombe nitaiona maji yaliyo changanyika na kinyesi...
Nipo mama tena jana nilitaka nikurukie hata sijui nikatingwa na nini?!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]basi nitalipa mwenyewe.

Majukumu na najua una mambo mengi,nitakutafuta kesho shem.
 
Tunafundishana ili tuweze kupambana na vikwazo. Maisha ya sasa hayana ujana wala uzee, mahitaji ni yale yale kwa wote. Mwili wenye afya ndio mtaji wetu...
Mwanaume kushuka kwa mwanamke sio uzwazwa(ikiwa tu mnagombana kwenye kitu cha maendeleo) wala haupungukiwi kitu chochote
 
Unampongeza kwa busara zake halafu bado wamtaka azungushe meza[emoji23].....Vibaya hivoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…