Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natamani maandaeitini wangeisoma hii na kuizingatia. Kuna busara nyingi na umegusia msingi mmojawapo mkuu wa ndoa yenye furaha: Urafiki. Bila urafiki ndoa ni gereza. Kimbembe sasa ni kumpata mwenye mtazamo unaoshabihiana.

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Hukukosea kuoa dada yangu shemeji. Hata nashangaa kwa nini ulikuwa unaleta nyodo kumalizia mahari mpaka ikabidi tupelekane mahakamani. Mtunze sana dadangu. Krismasi nitafika Mungu Akipenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mzee wa fenesi ana bahati sana dah...

Haya mambo haya ni magumu....
 
Umeona eeeh !

Safi sana. Hajakosea kabisa kuoa Koromije. Dada zangu wako vizuri sana. Ukome kuwatania !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji bhana,we agiza bili iende kwa SHIMBA YA BUYENZE .

Nimekumiss halafu tangu jana nakuwaza ujue??
Yaani mimi nimnunulie mwanaume mwingine pombe kwa niaba yako? Shwaiiiniii kabisa [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu azidi kuwabariki shem[emoji120][emoji120]
Mhhh !!! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba halisi au huyu wa Jf? Shimba halisi atamwaga vifungu hadi pombe nitaiona maji yaliyo changanyika na kinyesi...
Nipo mama tena jana nilitaka nikurukie hata sijui nikatingwa na nini?!!
Ni huyu wa JF. Naye ana matatizo?

Eti ulitaka umrukie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…