Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu aniepushe na maandiko yaliyo zoeleka kwa mwezi huu.
Ni mwezi wa kipekee sana, mwezi huu miaka ishirini iliyopita pita, mwacheni Mungu aitwe Mungu [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]...Mungu ni muweza wa yote.
Wakumbuka nini???
 
Walio bahatika kuisoma post hii na wapo na mama,tafadhali rudini na muwaombe msamaha kwa makwazo yoyote waliyo yapata.
Mzazi akisha kufa na hamkuwa na mahusiano mazuri, jiandae "kupata taabu saaaana kwa maisha yote ya uhai wako".
Hiyo ya kupata taabu ipo sana, haikwepeki kwa yeyote afanyaye jeuri kwa wazazi wake wangali hai.. Kuna dada mmoja alimfanyia jeuri baba yake, hakuwa akimsikiliza, dharau nyingi....Basi yule enzi za uhai wake akatoa neno moja tu mwake " Utaishi kwa kutangatanga maisha yako yote" Baada ya miaka kama miwili hivi yule mzee akafariki..Kweli yale maneno yanamuishi yule mama, ana watoto kila mtoto na babake, anafanya biashara za kuzunguka mikoani mpaka mipakani huko lakini pesa haijulikani inatumikaje na iko wapi mbali ya kuchakarika kote huko.....Yaani anabadili biashara kulingana na misimu, msimu wa mpunga yumo, mahindi yumo, samaki yumo, matunda yumo...Pesa haionekani.....Akikaa na mwanaume miezi mi3 ni mingi, ashabadilisha, ndani ya mwaka anajikuta ana wanaume zaidi ya wanne....Anakwambia yeye ndiyo muoaji hivyo mwanaume akizingua anamfukuza analeta mwingine ( Anaishi nao kwake)....

*HIZI LAANA ZIPO*
Tujaribuni kuziepuka kabisa...tuishi maisha ya kumpendeza Mungu, wazazi na jamii kwa ujumla....
 
Noted bro!!!
Family Over Everythings
 
Aisee!!!!
 
Andiko lako ni mafundisho kwetu.
Ahsante kwamba haujaandika ili upate "likes" bali umeamua kutoa somo kwa wale watakao vumilia kusoma gazeti na kulielewa.
Sio kila Jumamosi ni tarehe 4,tuendelee kufundishana ili tuweze kuishi maisha yenye amani pasipo majuto.
Mungu akutumie Pyaar[emoji120] [emoji120]
 
[emoji106][emoji106]
 
Aisee!!!!
Kweli kabisa..Sijasimuliwa na mtu. Nimeyashuhudia.
Kwa sasa anatamani babaye angelikuwa hai amuombe msamaha, kwa bahati mbaya hayupo tena...Baada ya mzee wake kufariki na binti kupitia taabu zote hizo ndipo alipokumbushwa na nduguze kuhusu kauli ya babaye.

**************************************
Kwa ambao hamjaoa/ kuolewa mkiwa mwata futa wenza wa maisha jaribuni sana kuangalia pia mahusiano ya huyo mwenza wako na wazazi wake....Atakupitisha katka tabu usizozistahili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…