Haya mambo ni magumu sana.Oooh! Pole sana ndugu yangu, Mungu awe mfariji kwako daima[emoji120]
WAFILIPI 4:13
"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu".
Mbona mapema sana shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani....wanaleta mada zinafanania....Mbona mapema sana shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama humu ndani leo kutashinda salama[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ha wa yuu
Upendo una nguvu ndugu yangu, hasa upendo wa wazazi...Mama atakubebea madhaifu yako yote, atakupenda kwa moyo wote...Atakupa tabasamu na furaha kwa hali yoyote aliyo nayo.Haya mambo ni magumu sana.
Nyerere alikuwa rais, alikuwa anapata kila kitu, ila kila mara alipenda awe karibu na mamaake. Sasa ndio nimeanza kumuelewa ni kwanini....
Hapo ndo penye shida sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu unachwanganywa akili na limsambwax lake, unaweka kitu ndani, baada ya mwaka unaomba akupeleke kwao. Unafika huko anakufikishia guest house, kesho yake jioni anakupeleka kwao, hata saa halijaisha anakuinua akukuonyeshe "viwanja" vyake alivyokuwa akinirusha. Nae mwanaume humo tu utadhani zwazwa la kinyakyusa....Kweli kabisa..Sijasimuliwa na mtu. Nimeyashuhudia.
Kwa sasa anatamani babaye angelikuwa hai amuombe msamaha, kwa bahati mbaya hayupo tena...Baada ya mzee wake kufariki na binti kupitia taabu zote hizo ndipo alipokumbushwa na nduguze kuhusu kauli ya babaye.
**************************************
Kwa ambao hamjaoa/ kuolewa mkiwa mwata futa wenza wa maisha jaribuni sana kuangalia pia mahusiano ya huyo mwenza wako na wazazi wake....Atakupitisha katka tabu usizozistahili..
Sad story Pyaar!!!Kweli kabisa..Sijasimuliwa na mtu. Nimeyashuhudia.
Kwa sasa anatamani babaye angelikuwa hai amuombe msamaha, kwa bahati mbaya hayupo tena...Baada ya mzee wake kufariki na binti kupitia taabu zote hizo ndipo alipokumbushwa na nduguze kuhusu kauli ya babaye.
**************************************
Kwa ambao hamjaoa/ kuolewa mkiwa mwata futa wenza wa maisha jaribuni sana kuangalia pia mahusiano ya huyo mwenza wako na wazazi wake....Atakupitisha katka tabu usizozistahili..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna komenti moja nimeiona nimecheka sana. Anasifiwa mwembamba, vile inavyoweza kufika hadi kwenye koromeoMbona mapema sana shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama humu ndani leo kutashinda salama[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ha wa yuu
Na huu ndio ukweli kabsa!!!Upendo una nguvu ndugu yangu, hasa upendo wa wazazi...Mama atakubebea madhaifu yako yote, atakupenda kwa moyo wote...Atakupa tabasamu na furaha kwa hali yoyote aliyo nayo.
Hata umpate mtu akupende namna gani bado hataufikia upendo ule..
[emoji23][emoji23][emoji23], zwazwa la kinyakyusa...Hapo ndo penye shida sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu unachwanganywa akili na limsambwax lake, unaweka kitu ndani, baada ya mwaka unaomba akupeleke kwao. Unafika huko anakufikishia guest house, kesho yake jioni anakupeleka kwao, hata saa halijaisha anakuinua akukuonyeshe "viwanja" vyake alivyokuwa akinirusha. Nae mwanaume humo tu utadhani zwazwa la kinyakyusa....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120], asante sana.Andiko lako ni mafundisho kwetu.
Ahsante kwamba haujaandika ili upate "likes" bali umeamua kutoa somo kwa wale watakao vumilia kusoma gazeti na kulielewa.
Sio kila Jumamosi ni tarehe 4,tuendelee kufundishana ili tuweze kuishi maisha yenye amani pasipo majuto.
Mungu akutumie Pyaar[emoji120] [emoji120]
Hakika. Watoto wa kiume tunalindwa sana na mama zetu, nashangaa kwanini tunashindwa kuwaelewa mapema kama wafanyavyo watoto wa kike kwa baba zao.Upendo una nguvu ndugu yangu, hasa upendo wa wazazi...Mama atakubebea madhaifu yako yote, atakupenda kwa moyo wote...Atakupa tabasamu na furaha kwa hali yoyote aliyo nayo.
Hata umpate mtu akupende namna gani bado hataufikia upendo ule..
Unastahili kutumika. Be blessed[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120], asante sana.
Polee sana!! Mara paap! Heeeee! Waoooo, ufwaaaa! Ughwe umwana nkusyukilwe fijo, utwa masiku?? (Moms)..Hakika. Watoto wa kiume tunalindwa sana na mama zetu, nashangaa kwanini tunashindwa kuwaelewa mapema kama wafanyavyo watoto wa kike kwa baba zao.
[emoji124] [emoji124] natamani Mungu atende miujiza warudi ghafla(sijui Carba atazimia) duniani.... Mara paaap!!!! Uufwaaa umwananguuuu[emoji114] [emoji114] [emoji114]
Tshaaa!!! Ndoto za saa tatu asubuhi ni za hovyo sana[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Katazo la mzazi(namaanisha aliye kulea) halina negosiesheni. Kiburi au kinyume na hilo katazo ukifanya ni kujitakia mateso ya duniani na siku ya kiama utaumia zaidi kwa dhambi ya kutoheshimu wazazi.Sad story Pyaar!!!
Haya mambo yapo sana,, Wazazi wapo na nguvu sana na wanamaono sana,, akisema kitu then ukapuuzia basi maisha yako unaweka matatani
Hilo la kuoa,,, sijui kwa wengine aisee,, ila kwangu mm naangalia familia yake kwanza,, wanamahusiano gani na wazazi wake,,, japo siku hz tunakutana kimjini mjini tu,,, lkn suala la kujua familia yake na mahusiano yake ni kitu muhimu sana