Wewe unajitoa kwenye hiki kizazi kipya? Sr andaeitini ama? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Mungu awasaidieni.
Anasema et ye muhengaWewe unajitoa kwenye hiki kizazi kipya? Sr andaeitini ama? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Hahahha watt wa kiswahili hawa,,, ndio wale kwenye maharusi huwa wanakuja na ndizi na kachumbari kwa ajiri ya ubwabwa,,Hahahaha! Nilitingwa tu, nitakuja kula ubwabwa.....Nazi kwaajili ya ubwabwa nitakuja nazo mie mwenyewe..[emoji23][emoji23]
Hahahahha!! Mie najielewa vizuri...Najua umuhimu wa hao watu..Nao pia wanaujua umuhimu wangu kwao....Wewe unajitoa kwenye hiki kizazi kipya? Sr andaeitini ama? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Aaaa wapi. Anajitahidi sometimes kuandika kwa makusudi ili kuproject uhenga halafu anajisahau tena anarudi kwenye uhalisia wake (uandaeitini). Tunaojua kusoma bitwini ze lainzi tunaelewa. Wi kanti bi disivudi so izili [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ajabu utakuta naye yumo kwenye uUniq ila tu amelelewa katika mazingira tofauti.Anasema et ye muhenga
[emoji23][emoji23][emoji23], yanini nikusumbue kuhangaika kutafuta nazi mkuu? Haitakuwa sahihi, ubwabwa utafute wewe, na viungo pia?!!!Hahahha watt wa kiswahili hawa,,, ndio wale kwenye maharusi huwa wanakuja na ndizi na kachumbari kwa ajiri ya ubwabwa,,
Hahaha karbu sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38], si kwa kunichambua huko.Aaaa wapi. Anajitahidi sometimes kuandika kwa makusudi ili kuproject uhenga halafu anajisahau tena anarudi kwenye uhalisia wake (uandaeitini). Tunaojua kusoma bitwini ze lainzi tunaelewa. Wi kanti bi disivudi so izili [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ajabu utakuta naye yumo kwenye uUniq ila tu amelelewa katika mazingira tofauti.
[emoji23]Hahahhaha mkuu,, umeanza kutoa siri eeh,,, hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaa wapi. Anajitahidi sometimes kuandika kwa makusudi ili kuproject uhenga halafu anajisahau tena anarudi kwenye uhalisia wake (uandaeitini). Tunaojua kusoma bitwini ze lainzi tunaelewa. Wi kanti bi disivudi so izili [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ajabu utakuta naye yumo kwenye uUniq ila tu amelelewa katika mazingira tofauti.
Hahahha wewe ndio mgeni wa kwel sasa,,, mgeni njooo mwenyeji apone!!![emoji23][emoji23][emoji23], yanini nikusumbue kuhangaika kutafuta nazi mkuu? Haitakuwa sahihi, ubwabwa utafute wewe, na viungo pia?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha wewe ndio mgeni wa kwel sasa,,, mgeni njooo mwenyeji apone!!!
Mgeni Pyaar,, njoo hata leo[emoji39] [emoji23] [emoji23] mgeni toka daslamu
Noma sanaHATUPOI