Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120]
IMG_20180804_152159_833.jpeg
 
*USHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI..?*

_Ninavyomfahamu_

1. Hapendi makuu,ukimchokoza anasema *KAYA YA NG'WOBA NAYO KAYA* ili siku ipite salama.

2. Hapendi kesi,ukimdhurumu anasema *MAGUZU MASESE* ili asipoteze muda kufuatilia mambo ya kesi, badala yake afanye
kazi.

3. Hapendi kuumiza moyo kwa hasara iliyotokea, akipata hasara anajipa moyo kwa kusema *JATULWA MBITI JIDATANG'ANHAGA* ili aepuke matatizo ya madonda ya tumbo, moyo presha n.k.

4. Hapendi kujikweza, ukimsimanga ugenini anasema *NG'OMBE NG'ENI IKAPAMAGWA NA DIDA* huo ndo ustaarabu.

5. Ni mvumilivu hata kwenye suala la utafutaji, akianza na mtaji mdogo hujipa moyo kwa kusema *BUSHI BO MBULI BUKAKWILILAGA MU BUTUNGO* wengine husema haba na haba hujaza kibaba.

6.Hatoi siri ovyo ovyo, ukimdadisi anakwambia *KAMANWA MAMBI KALI MU NG'HOMA* ili kuepusha uchonganishi.

7. Kipindi cha njaa huwafariji wana familia kwa kuwaambia *SHILIWA SHIDOHE BALI BAKWILE* ili kuwaondoa hofu akijua baada ya dhiki kuna faraja.

8. Hana roho mbaya, penye watu wengi na nafasi ndogo husema *BITOGILWE BATISHITAGA* ili kujenga upendo na kutobaguana.

9. Hana hasira za kukurupuka, ukimchukiza anasema *AKULIPA WELELO* huku akitafakari cha kufanya.

10. Anajua mambo yote hapa duniani ni ubatili na yote yatapita, akikabiliwa na jambo gumu asiloliweza anasema *NDUHU TAABU*

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Mtafute shoga yako akutafsrie. Ukielewa hutatutania tena. Shwaiiiiiiiiiiiiiniiiiii [emoji16][emoji16][emoji16]. Leo hata lishikamoo lako silitaki [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiii[emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Muombe dada akutafsrie kama anakijua sawasawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
C STRUGGS Hip Hop Rapa Kutoka Dallas Marekani @cstruggs232 Ambae Jana Madaktari Waliripoti Kuwa Amebakiza Miezi Miwili Tu ya Kuishi, AMEFARIKI DUNIA C Struggs alikuwa akisumbuliwa na Cancer ambayo amekuwa akiihangaikia kwa muda mrefu Ugonjwa ambao kwa Mujibu wa Madaktari ulikuwa umesambaa mwili mzima na asingezewa kupona tena.
 
Tatizo vijana wa sasa hivi mnajidai watoto wa kidijitali, msipokuwa makini mtapambana na hali zenu,, usione mtu anapata baraka ya maisha, siku zote ni mtu wa kuinuliwa tu...Mkilowea mijini huko mnalowea kweli, (kama wazazi wapo vijijini) si wa salamu wala chochote kitu kwa wazazi wenu + bibi + babu (kama wapo hai).. Halafu siku mkipata matatizo mnakuwa mzigo kwa wazazi wenu..
Tuwaombeeni tu jamani maana hali ni mbaya,, vijana wengi hatujitambua tunapotezwa na mawigi haya ya mjini,, tunasahau huko tulipotoka,, tunasahau kila kitu ila hadi kufika mjini wazee wetu wameuza ng'ombe wengine hadi vitanda ili mtt asome,,, tukipata kidogo tu tunasahau
 
C STRUGGS Hip Hop Rapa Kutoka Dallas Marekani @cstruggs232 Ambae Jana Madaktari Waliripoti Kuwa Amebakiza Miezi Miwili Tu ya Kuishi, AMEFARIKI DUNIA C Struggs alikuwa akisumbuliwa na Cancer ambayo amekuwa akiihangaikia kwa muda mrefu Ugonjwa ambao kwa Mujibu wa Madaktari ulikuwa umesambaa mwili mzima na asingezewa kupona tena.
Mmmh hadi hiphop!!!
 
Back
Top Bottom