Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye uprofesa wa mambo ya kale kaandaeitini ketu umo. Kwenye wosia wa falsafa za kihenga kuhusu maisha pia umo. Yaani ni fulu pakeji [emoji16][emoji16][emoji16]Kweli kabisa..Sijasimuliwa na mtu. Nimeyashuhudia.
Kwa sasa anatamani babaye angelikuwa hai amuombe msamaha, kwa bahati mbaya hayupo tena...Baada ya mzee wake kufariki na binti kupitia taabu zote hizo ndipo alipokumbushwa na nduguze kuhusu kauli ya babaye.
**************************************
Kwa ambao hamjaoa/ kuolewa mkiwa mwata futa wenza wa maisha jaribuni sana kuangalia pia mahusiano ya huyo mwenza wako na wazazi wake....Atakupitisha katka tabu usizozistahili..