Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anasema et ye muhenga
Aaaa wapi. Anajitahidi sometimes kuandika kwa makusudi ili kuproject uhenga halafu anajisahau tena anarudi kwenye uhalisia wake (uandaeitini). Tunaojua kusoma bitwini ze lainzi tunaelewa. Wi kanti bi disivudi so izili [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ajabu utakuta naye yumo kwenye uUniq ila tu amelelewa katika mazingira tofauti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38], si kwa kunichambua huko.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro umemaliza kila kitu hapo hata mm nlidhamstukia,,, sema kuna siku amenikazia hapa et ni muhenga na yuko na watt wanne!!! Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…