@ZOPPANoma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unayaamini maneno ya ngosha??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro umemaliza kila kitu hapo hata mm nlidhamstukia,,, sema kuna siku amenikazia hapa et ni muhenga na yuko na watt wanne!!! Hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SawaManchester City
Mabingwa wa England wanaonekana wamemaliza usajili wao mapema, wakiwa wamezipata saini za Riyad Mahrez na Philippe Sandler.
Wamemaliza biashara yao, labda itoke nafasi ya kipekee au waondokewe na mchezaji na kulazimika kuziba pengo hilo.