Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha nicheke huku[emoji23][emoji23][emoji23],nipo ugenini huku nasikia wanajadiliana Kuwa vyumba havitoshi, kwa hiyo mgeni alale tu na housegirl eti mbona anaonekana mstaarabu tu..*sijui pepo gani anawadanganya hawa*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ole wao oohooo siku hizo×2

Siku hizo za kutisha zaja tujiadhari kanisa litakapo nyakuliwa siku hizo zaja waumini

Wale wote wataoaachwa,itakua ni majuto na matesooo

Baba wewe uko wapi,mimi mbona nilikua muhubiri hatasikiliza ,mimi baba nilikua mwanasheria hatasikiliza,baba mimi nilikua muimbajii,mimi baba mimi aah

Kanisa litakapo nyakuliwa siku hizo zaja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…