Safi sanaThamani ya mwanadamu imefutwa na wanasiasa. Kuendelea kushabikia siasa hizi za hovyo hovyo ni kushiriki kuwanyanyasa wananchi masikini wasio na uwezo wa kujitetea kwa namna yoyote ile.
Duuu, unapofika na papara mara uvute hiki mara kile mwisho wa sinema kila mmoja atajua mwenyewe
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Katika jina la Yesu natengua kauli yako hii. Nayafutilia mbali mawazo na maneno haya haijalishi kama ni utani ama la. Kama una msongo wa mawazo na ukaoshwe kwa jina la Yesu. Kama unafikiria kujiua, mawazo hayo na yakafe na badala yake mawazo ya upendo wake na matumaini yakatawale fikra zako.
Prof, we still need you [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23], nilikuwa nawabip.Unatutisha hivyo mkuu
furaha jipe mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama namuona shiroView attachment 827811
safii[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 827826
safii sanaKaribuni wakuuView attachment 827941