Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Washenzi wale walitufanyia mambo ya kishenzi sana na mpaka leo hatujakaa sawa kisaikolojia...
Kabisa aisee!! Walitufanyia unyama wa kutisha sana,,,Ila Leo hii unakuta kuna urafiki wa mtu mweusi na mweupe kabsa,,, Aisee nachoamini mm hakuna urafiki wa mweupe na mweusi otherwise kuna kitu mweupe anafaidika nacho toka kwa mweusi!!!
 
[emoji23][emoji23]unapiga story na peddler wa weed akifua nguo kidogo kidogo anamwaga manguo anaanika besheni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.......hapo ndo nilijua bangi si sukuma wiki[emoji38][emoji38] ......[emoji1614][emoji1436]‍♂[emoji1436]‍♂
 
DEM: Uko wapi bby
JAMAA: Niko njiani naelekea shuleni niko na gari ya Baba Marcedenz benz ile Bmw ipo service, we uko wapi bby.
DEM: Nipo siti ya nyuma yako kwenye hii daladala ya chanika nilitaka nikuambie usilipe nauli nishakulipia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…