Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaahahaha
 
Kabisa aisee!! Walitufanyia unyama wa kutisha sana,,,Ila Leo hii unakuta kuna urafiki wa mtu mweusi na mweupe kabsa,,, Aisee nachoamini mm hakuna urafiki wa mweupe na mweusi otherwise kuna kitu mweupe anafaidika nacho toka kwa mweusi!!!
Ni kweli bro. Ukimwona mzungu amekazana eti kumsaidia Mwafrika jua kuna kitu anafaidika kama siyo sasa ni huko mbele ya safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…