Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani hata ukisingiziwa tu tayari. Mi naachaga mlango wa ofisi wazi kabisa nikiwa na mtu ndani. Kuna mmoja aliwahi kunipa changamoto sana japo baadaye niligundua kwamba shida yake kuu ilikuwa ni shoo ya kibabe tu na si kingine. Shwaini kabisa !!!

Hahaa, halafu hawa wakikumind wanakuja full force kabisa! Anakutolea macho mpaka mtu unatafuta pa kutokea! Tatizo sasa, baadhi yao wanakurudi huko mbele ya safari; ni kama yanayowakuta baadhi ya hawa Waheshimiwa sasa! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…