Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hapa Mwarabu anakuambia, Walahi nabada ushungu wa moyo! [emoji23][emoji23]
Kwani picha zake za utoto na ujana zikiwekwa(hata wakati akiwa bado mweusi) kuna ubaya gani? Sijaelewa kabisa hoja yako mkuu. Nifahamishe vizuri nielewe. Mimi huwa naziweka humu nikiona zinazonivutia na kuna blogs na sites mbalimbali zinazojishughulisha na picha hizo pekee. Na zina maelfu ya followers. Hata siku moja sijawahi kujisikia vibaya kwa sababu MJ alikuwa mtu wa pekee sana.ndivyo alivyo kufa na muonekano huo mkuu.....????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AminApumzike kwa amani king majuto
Wamemzushia mara kibao. Hatimaye siku zake zimefika. Utafikiri wao zao wazushaji hazitafika. RIP Mchekeshaji. Nenda ukawachekeshe na malaika sasa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 830431
DuhHuyu Yego ni dei waka, uwezo wake maji ya ugoko tu; Ataweza wapi maji ya kina kirefu bana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Show ya kibabe raundi moja tu analala ka mtoto mdogo. Insomnia mai futi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Fuata ushahuri wa kitabibu
Na insomnia yako. ..
Yeah! Hatimaye Mungu kamchukua mpendwa wetu huyu...Tutamkumbuka daima kwa kazi zake.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wamemzushia mara kibao. Hatimaye siku zake zimefika. Utafikiri wao zao wazushaji hazitafika. RIP Mchekeshaji. Nenda ukawachekeshe na malaika sasa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa amani🙏🙏🙏Wamemzushia mara kibao. Hatimaye siku zake zimefika. Utafikiri wao zao wazushaji hazitafika. RIP Mchekeshaji. Nenda ukawachekeshe na malaika sasa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mgumu wapi anachosha watu akili tu[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23], muache mgumu bwana.
Wenye mali za urithi[emoji23][emoji23]Nitapewa na nani???
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Show ya kibabe raundi moja tu analala ka mtoto mdogo. Insomnia mai futi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]Wenye mali za urithi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mgumu wapi anachosha watu akili tu[emoji23]
Umesahau huku eeh??View attachment 830520
Hapa Mwarabu anakuambia, Walahi nabada ushungu wa moyo! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]View attachment 830520
Hapa Mwarabu anakuambia, Walahi nabada ushungu wa moyo! [emoji23][emoji23]
Kweli..Lisemwalo lipo...
Mh![emoji124][emoji124]Show ya kibabe raundi moja tu analala ka mtoto mdogo. Insomnia mai futi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Daah we jamaa akachekeshe malaika kwan wanamjua!!? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamemzushia mara kibao. Hatimaye siku zake zimefika. Utafikiri wao zao wazushaji hazitafika. RIP Mchekeshaji. Nenda ukawachekeshe na malaika sasa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]