Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kaumizwa na wanawake karibia 9. Wote wa humu? Kazi ipo !!!Umesahau huku eeh??
Wanawake JF Asilimia kubwa ni Waongo, Matapeli nmechoka nao
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaumizwa na wanawake karibia 9. Wote wa humu? Kazi ipo !!!Umesahau huku eeh??
Wanawake JF Asilimia kubwa ni Waongo, Matapeli nmechoka nao
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Kama wewe tu,yani wewe na yego hamna tofauti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli bro,, hakina mambo ya kujiandaaKifo kifo tu bro...
Mi hata wanitupe mtaroni sawa. I am dead [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Huyo nae alizidi, kha! Tisa na bado alitaka kuendelea kuongeza hesabu, umekuwa Mswati?
Hahahha et Mswati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Huyo nae alizidi, kha! Tisa na bado alitaka kuendelea kuongeza hesabu, umekuwa Mswati?
Aiseee [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Nane Nane inaisha vibaya sana
Kaumizwa na wanawake karibia 9. Wote wa humu? Kazi ipo !!!
Wewe lazima nikuanzishie mapema Tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani sijui alikuwa anataka kugundua nini.
Huwezi amini nimesoma comments zote,kuna mtu katoa povu huko hatari[emoji23][emoji23]
Wenye sura za baba sisi tukikutana msijetuanzishia nyuzi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe lazima nikuanzishie mapema Tu.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Ngoja nijianzishie training ya KUACHA uzitoPole sana
Tuko poaKheri jirani yangu, niaje huko?
Alikuwa anataka kuanzisha timu ya mpira?Kwa madai yake wote wa jf
Niulizie[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]Hivi kaYego kakiona hivi kanajisikiaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]View attachment 830520
Hapa Mwarabu anakuambia, Walahi nabada ushungu wa moyo! [emoji23][emoji23]
Lipi mkuu?Siyo kwa kalio lile[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kaacheni kapumue kidogo jamaniKatika shughuli zangu za ushauri nasaha na ushauri kwa vijana, nitakuwa nakatumia kaYego kama mfano wa vijana hopulesi kabisa wasioelewa kuchangamkia fursa anzilishi tamanishi kamilifu. Prof alijitolea sana halafu bado mgeni mgeni dah! Na fursa za hivi ni nadra kuja mara mbili mbili unless kama kalizungukia uwani na kwenda kuanza kufundishwa kwa siri sirini [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️