Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Show ya kibabe raundi moja tu analala ka mtoto mdogo. Insomnia mai futi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro kwema
Mungu ni mwema kila Wakati
 
Yego umerudi kwa mwalimu wako?!!! Kweli ccm walio enda chadema na wanarudi ccm tusiwashangae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwalimu alikubembeleza sana weee mtoto, ukajifanya mgumu kwa kumuiga Cole, alivyotikiswa tu na sweetlee nae chaliii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Saa hivi Pyaar yupo andakea ya wazee wanao jua kuhendo...
Katika shughuli zangu za ushauri nasaha na ushauri kwa vijana, nitakuwa nakatumia kaYego kama mfano wa vijana hopulesi kabisa wasioelewa kuchangamkia fursa anzilishi tamanishi kamilifu. Prof alijitolea sana halafu bado mgeni mgeni dah! Na fursa za hivi ni nadra kuja mara mbili mbili unless kama kalizungukia uwani na kwenda kuanza kufundishwa kwa siri sirini [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
FB_IMG_1532420468394.jpg
 
Kwahyo mkuu yego atakuwa Mzito
 
Back
Top Bottom