Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ndivyo alivyo kufa na muonekano huo mkuu.....????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani picha zake za utoto na ujana zikiwekwa(hata wakati akiwa bado mweusi) kuna ubaya gani? Sijaelewa kabisa hoja yako mkuu. Nifahamishe vizuri nielewe. Mimi huwa naziweka humu nikiona zinazonivutia na kuna blogs na sites mbalimbali zinazojishughulisha na picha hizo pekee. Na zina maelfu ya followers. Hata siku moja sijawahi kujisikia vibaya kwa sababu MJ alikuwa mtu wa pekee sana.
 
Wamemzushia mara kibao. Hatimaye siku zake zimefika. Utafikiri wao zao wazushaji hazitafika. RIP Mchekeshaji. Nenda ukawachekeshe na malaika sasa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yeah! Hatimaye Mungu kamchukua mpendwa wetu huyu...Tutamkumbuka daima kwa kazi zake.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…