Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuishi kwa mzazi Ni shida...
Kuna day nimepanga na bae akam mechi,nikaamka bila shida na mtu nikavaa under armour tu..Mom n Dad wakatoka Asubuhi..Alafu saa sita sijui saitani gani ikaleta mom na wageni wa church[emoji24] na ivo ndio nikalamba Lolo..saa hii bae ameambia mabeshte wake vile Sina nguvu za kiume[emoji24][emoji24][emoji24]
 
There are 2 types of girls in this world,, kuna wale wakiwa hurt, they will cry alone, lakini sasa kuna hii species ingine itapost *crying with Roy and 132 others* utadhani wako matanga ya King Majuto🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji703][emoji703][emoji703][emoji703]
.
.
Kaa ni old paka rangi[emoji23][emoji23]
Jiwe moja anauwa ndege wa kutosha tu
 
IMG_20180808_160826_837.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani sijui alikuwa anataka kugundua nini.
Huwezi amini nimesoma comments zote,kuna mtu katoa povu huko hatari[emoji23][emoji23]

Wenye sura za baba sisi tukikutana msijetuanzishia nyuzi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inategemea ntu na ntu, SYB anaweza kukuona wewe kama sura ya mshua lakini mimi ndio nikawa ndo nimefika hapo; Mahaba nigaragaze! [emoji23][emoji23]
 
Ati umesema, nitakuwa wa Demo? [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
Kabisa poti...

Ila uko kajanja kajanja. Nahisi kama unafundishwa vile...[emoji16][emoji16][emoji16]

Kama unafundishwa nitabadilisha na utakuwa mfano mmoja bora sana wa kuwa humble katika mawindo....na utafutaji. Itabamba mbaya [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom