Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuishi kwa mzazi Ni shida...
Kuna day nimepanga na bae akam mechi,nikaamka bila shida na mtu nikavaa under armour tu..Mom n Dad wakatoka Asubuhi..Alafu saa sita sijui saitani gani ikaleta mom na wageni wa church[emoji24] na ivo ndio nikalamba Lolo..saa hii bae ameambia mabeshte wake vile Sina nguvu za kiume[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jiwe moja anauwa ndege wa kutosha tu
 

Inategemea ntu na ntu, SYB anaweza kukuona wewe kama sura ya mshua lakini mimi ndio nikawa ndo nimefika hapo; Mahaba nigaragaze! [emoji23][emoji23]
 
Ati umesema, nitakuwa wa Demo? [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
Kabisa poti...

Ila uko kajanja kajanja. Nahisi kama unafundishwa vile...[emoji16][emoji16][emoji16]

Kama unafundishwa nitabadilisha na utakuwa mfano mmoja bora sana wa kuwa humble katika mawindo....na utafutaji. Itabamba mbaya [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…