Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Newcastle wanakaribia kumsaini mlinzi wa Barcelona Mbrazil mwenye miaka 22 Marlon Santos kwa mkopo wa msimu mmoja. (Sport)
 
Mshambuliaji wa Leicester Islam Slimani anavutia vilabu vya Fenerbahce, Besiktas na Sporting Lisbon, huku Leicester wakiwa tayari kukubali ofa za karibu pauni milion 18 kwa raia huo wa Algeria mwenye miaka 30. (Sky Sports)
 
Ajenti wa Axel Witsel anasema kiungo huyo wa kati mwenye miaka 29 raia wa Ubelgiji alikuwa akimezewa mate na Manchester United na Napoli kabla ya kujiunga na Borussia Dortmund kutokaTianjin Quanjian. (Het Laatste Nieuws, kupitia Goal)
 
Aston Villa wanakaribia kumsaini beki wa Bristol City Joe Bryan, lakini Fulham wametangaza ofa kwa mchezaji huo raia wa Uingereza mwenye miaka 24. (Bristol Post)
 
Heh,, mbona imekuwa fupi mzee wangu,,?? story nzuri Sana hii nlkuwa najifunza kitu hapa,,, hope utaendelea kdogo

Salama mzee wangu,,habari ya majukumu pia?
hapa ndio kwenye kipindi cha mahindi ya Yanga?
 
Aaaah kijana acha basi kuniaibisha kijana wangu,hapo ni enzi za kupanga jiwe dukan kuwahi nafasi hapana chezea wahujumu uchumi yaan hata sabuni tu ilikua adimu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kipindi cha kuhujumu uchumu Si ndio kile kipindi cha Hayati Sokoine?? Nakikumbuka mhenga kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo vizuri aisee
 
Kipindi cha kuhujumu uchumu Si ndio kile kipindi cha Hayati Sokoine?? Nakikumbuka mhenga kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo vizuri aisee
Weuwee acha hizo umemeza historia utadhan redio mbao,hapa watu tulishuhudia laivu kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…