[emoji23][emoji23]Him: ata utoboe masikio yote mapua midomo nitaangalia matako tu
Her: ata uweke haircut zote,upigwe cut zile mbili kwa eyebrows,uvae adidas pants na belenciaga fake nitaangalia wallet tu[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*UTOTO Bwana.!*
*Mnacheza Mpira wa Makaratasi, Unapiga Chenga Kibaoo.. Afu Ukifika Golini ili Ufunge Unakuta GOLI Hamna* [emoji16]
*Kumbe Mwenye NDALA zake Ameitwa Kwaoo... [emoji16][emoji16][emoji16]*
🤣🤣🤣🤣
Ngwala ndio nini jirani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe Huwezi ngwala jirani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msicheke wala msijisikie vibaya... Kukiri kwetu peupe juu ya uhenga wetu ni faida kwenu kama nasi tunavyo jifunza kutoka kwenu. Leo hii tunataniana na kuitana majina ya hovyo kabisa kwa umri wangu, lakini siku tukikutana utashtuka na kumwaga shikamoo nyingi bila mpangilio... Cha kushangaza zaidi shikamoo lazima iishie na jina la "mzee wa fenesi" huku unaichungulia (sijui ili uone nini?!!) suruali ya kitambaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa maana hiyo tumetengeneza mazingira ya kuheshimiana bila kuogopana.
Numbisa binti yangu, ai noo yuu veri welo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaah carba hadi weuweeeeeee mhenga mwenzetu jaman jaman
Jamani jamani sijataja mtu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana yake huyo mgomvi kwa wakoromije ila mie nimemuona sponsor kule nyuma ya esuti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waone[emoji23][emoji23][emoji23]nyie kipindi chenu ni cha bombadia na drimulainazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaah kijana acha basi kuniaibisha kijana wangu,hapo ni enzi za kupanga jiwe dukan kuwahi nafasi hapana chezea wahujumu uchumi yaan hata sabuni tu ilikua adimu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kipindi cha kuhujumu uchumu Si ndio kile kipindi cha Hayati Sokoine?? Nakikumbuka mhenga kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo vizuri aisee
Yatakushinda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Jamani jamani sijataja mtu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge niache puliziii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mi najua mwakaleli hii,, kumbe kuna wengine tena[emoji23] [emoji23]
Jamani jamani sijataja mtu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mastazi ya ubuyu??Daaah huo mwaka nilikua kazin kabisaa baada ya kumaliza masters yangu kule gambosh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gamboshi ni uchawi wakati kwa Godess hata robo hakamfikii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mastazi ya ubuyu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanioneaaaaaaMsicheke wala msijisikie vibaya... Kukiri kwetu peupe juu ya uhenga wetu ni faida kwenu kama nasi tunavyo jifunza kutoka kwenu. Leo hii tunataniana na kuitana majina ya hovyo kabisa kwa umri wangu, lakini siku tukikutana utashtuka na kumwaga shikamoo nyingi bila mpangilio... Cha kushangaza zaidi shikamoo lazima iishie na jina la "mzee wa fenesi" huku unaichungulia (sijui ili uone nini?!!) suruali ya kitambaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa maana hiyo tumetengeneza mazingira ya kuheshimiana bila kuogopana.
Numbisa binti yangu, ai noo yuu veri welo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kipindi chetu tena,, wewe unajitoa kumbeWaone[emoji23][emoji23][emoji23]nyie kipindi chenu ni cha bombadia na drimulainazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh boy[emoji124][emoji124][emoji124]Yatakushinda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kaone [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Kama ni gamboshi sawa,,, maana hata miaka mitano anakuwa ameshaiva na hiyo master[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]