MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Huyu mimi ntampiga nimefungwa mkono moja nyuma na nimelewa Vodka.Ni vizuri kukata ubishi tupate ukumbi af umpige ngumu tuone kama atavimba
Sivaagi mawigi.[emoji23][emoji23]Ntakupiga hadi utaona wigi ni zito kichwani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], kuongea rahisi sana.Huyu mimi ntampiga nimefungwa mkono moja nyuma na nimelewa Vodka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi ntakunyoa nyusi zote kwa kichupa.Sivaagi mawigi.[emoji23][emoji23]
Hahahahaha, wewe jamaa bwana.
Hivi unajua Shafii yule wa King Cross anakua mimi namuona mzee ??? Wale wakina Salim Assas na Wakina Mubarak Abri tulikuwa tumeungana fensi moja..Wanasoma mapinduzi nawaona kabisa madogo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha Wiloles? Maana nyumba ya Abri ilikuwa ina face barabara kuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi ntakunyoa nyusi zote kwa kichupa.
Yaani ntakubutua hadi sura yako itaingia kwenye Guiness World Book.
Hapana bwana kipindi hicho alikuwa na nyumba kule juu Gangilonga. Pale wilolesi alikuwa anakana nyumba ya Marehemu Massasi wa Isimila ambayo anakaa M.T.Huwel sasa hivi...Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha Wiloles? Maana nyumba ya Abri ilikuwa ina face barabara kuu
Wewe chekelea tu, utakapokuwa huna meno ya barazani ndiyo utajua kwamba sitaniiii....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuu utalia ndugu, Hasa Kwa safari za porini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukitaka kufaudu hivi vindege vidogo hivi panda wakati kuna kaupepo na mvua mvua [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe chekelea tu, utakapokuwa huna meno ya barazani ndiyo utajua kwamba sitaniiii....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Namcheki ndugu yako andjul anasema mimi katoto. Hahahaha JF bwana.[emoji23][emoji23][emoji23]