Hahahaha ! Ndio.Hahahahaha,
Nani anipige huyo Pyaar ?
Hivi mnaongelea kupigana manundu haya ya kawaida au manundu haya mengine? [emoji116][emoji116][emoji116]Sivaagi mawigi.[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umebwia chumvi si haba[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha, wewe jamaa bwana.
Hivi unajua Shafii yule wa King Cross anakua mimi namuona mzee ??? Wale wakina Salim Assas na Wakina Mubarak Abri tulikuwa tumeungana fensi moja..Wanasoma mapinduzi nawaona kabisa madogo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu mimi ntampiga nimefungwa mkono moja nyuma na nimelewa Vodka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe wahenga Tupo wengi humu..? Au mi sistahili kuitwa muhenga maan na Mimi ni wa kitambo kidogo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Wahenga tupo
Atakuwa Ferdinand?Hahahahahaha,,,
Marehemu Kambanyuma alikuwa naye wa Gangilonga bwana. Mke wake alikuwa anafundisha Gangilonga Primary...Kuna mtoto wake moja hivi ameoa mtoto wa mama Mashauri wa Wilolesi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Basi ntakunyoa nyusi zote kwa kichupa.
Yaani ntakubutua hadi sura yako itaingia kwenye Guiness World Book.
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23], anamaanisha haya[emoji116][emoji116]Hivi mnaongelea kupigana manundu haya ya kawaida au manundu haya mengine? [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 832125
Siyo haya mzee,...Hivi mnaongelea kupigana manundu haya ya kawaida au manundu haya mengine? [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 832125
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu kwema?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Wahenga tupo
Twende pamoja sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Ahahah Sawa like unapata
Wewe sidhani hata kama unafika 22Kumbe wahenga Tupo wengi humu..? Au mi sistahili kuitwa muhenga maan na Mimi ni wa kitambo kidogo
Ahahah af na Mimi najifanya refa wa kujitolea wakati sifahamu hata ni manundu gani pengine Pyaar yuko sahihi kusema mkuu Malcom Lumumba hamuweziHivi mnaongelea kupigana manundu haya ya kawaida au manundu haya mengine? [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 832125
Pole mnunduishwaji [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji23][emoji23][emoji23], anamaanisha haya[emoji116][emoji116]View attachment 832127
Dah hapo umekuwa too much huo umri wa mwanang kabisaWewe sidhani hata kama unafika 22
Hahaha nilimwona mara ya mwisho mwaka 2006 wakati nimetembelea pale Kleruu Chuo. Nikaambiwa alikuwa anakaa mitaa ileAtakuwa Ferdinand?
Kama haujatumia usafiri wa mabasi ya "relwe" au hata "kamata" utakuwa bado na uandaeitini kidogoKumbe wahenga Tupo wengi humu..? Au mi sistahili kuitwa muhenga maan na Mimi ni wa kitambo kidogo
Nawe utakubali ninundishwe??Pole mnunduishwaji [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️