MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Huyu Pyaar ntam'bomoa kwa manufaa ya ummah. Nyie suburi tuAhahah af na Mimi najifanya refa wa kujitolea wakati sifahamu hata ni manundu gani pengine Pyaar yuko sahihi kusema mkuu Malcom Lumumba hamuwezi
Ngangari [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku hizi umekuwaje Moud[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alinipita kidogo tuKwema mkuu, habari, naona leo umekutana na mwalimu wako wa primary[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti madhambiHakika. Lakini Mungu ana makusudi na nasi ndio maana bado tuna tumia pumzi yake bure bila kujali tuna madhambi kiasi gani
Wa safari za mchana[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] huyu ni wa Abood, Super Feo, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alikuwa ni Power mmoja maarufu jijini Dar[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yes, wakamuonyesha amekuwa chatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23], hufai wala kwa kulumangia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Acha tu mzee.
Nakuletea silaha ya kumnyong'onyesha kabisa... Ukubwa dawa ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti madhambi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hata mnitishie huyu Pyaar ntamundisha tu.......Piga ngumiiiiii