myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee😂[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 832438
✔✔3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo…mshike mkono au mkumbatie kiasi na busu tena.
Ukiona/hisi anajisogeza au anakupa ishara kuwa uendelee kwa kufungua mdomo kiaina, kukushika mkono/kifua/kitambi/kiuno au kuweka mkono kwenye bega basi endelea na “busu nyevu” kwa kubusu ktk mtindo wa kulamba-kunyonya mdomo(lips) wa chini na tulia hapo kwa sekunde chache kisha pokea ulimi wake kwa ulimi wako (bila kuachama…ni mumo kwa mumo)alafu ukwepe na kisha rudi kwenye midomo ya busu lip ya juu…..
😂😂Haya hilo ndo la leo la kumoyo 'denda linautamu wake jamani' dah! haswa umpate anayelijulia mbona utadata!
Mi ndo nishalopoka likikuuma kama kawaida choma ganzi!!